Adija yusufu mkuki kwa nguruwe

Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja comments. Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako kilio chako kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi. Post a Comment. Monday, October 28, Mkuki ni kwa Nguruwe Siku hiyo nilikuwa nimekaa nyumbani, sebuleni, na mume wangu alikuwa amelala chumbani baada ya kupata dawa. Dawa hizo huwa akishazitumia, zinampa usingizi mnzito. Kwanza ilibidi nigeuke huku na kule kumwangalia mfanyakazi wangu wa ndani, kwani msaidizi wangu alikuwa katoka kidogo, nilihisi anaweza kuwa ni mgeni wao, maana mimi muda kama huo wengi wanafahamu kuwa nipo kazini Kwanza nikataka nimzuie asiingie ndani, kwani sikutaka mtu yoyote kumsumbua mume wangu, japokuwa nafahamu kuwa mdogo wake, atakuwa analifahamu hilo, lakini moyoni nilikuwa na hamu sana ya kuongea na huyu mtu, na nikaona huenda ndiyo nafasi pekee ya kujua lolote kuhusu kwa shemeji yangu huyu.

Hata hivyo, japokuwa nilijua kuwa mume wangu kalala fofo kutokana na hizo dawa, lakini sikuwa na uhakika hizo dawa zinaweza kuchukua muda gani kabla mue wangu hazijazindukana,na mara nyingi akiwa hana usingizi, hapendi kukaa ndani, anapenda kuzungushwa nje na kigari chake cha kukokotwa. Nikaona nitumie muda kidogo kuongea na huyu mtu, lakini kwa tahadhari.

Baada ya kuwaza hivyo,nikafungua mlango, na kutoka nje, nilihakikisha nimeusindika mlango nyuma yangu, na nikawa naangaliana uso kwa uso na shemeji yangu huyu, ambaye inaonekana hakutarajia kuniona hapo nyumbani, akabakia mdomo wazi akishindwa hata kuongea, nikatabasamu ili kumuondoa wasiwasi, na yeye kwa aibu akatizama chini. Ni kweli shemeji yangu huyu, alimchukua mume wangu kutoka huko kijijini, tukawa tunaishi naye hapa kwangu, nia na lengi ni kumsaidia kujiendeleza, haa katika kumsomesha na kumjenga kimaisha, na kwa vile kwa muda huo alikuwa amemaliza kidato cha sita,mimi nilimshauri mume wangu tumuendeleze ndugu yake huyo ili asome chuo kikuu.

Alipofika hapo tumamweleze nia na makusdio yetu, yeye kwa muda huo, hakutaka kusoma tena,alidai hata kusoma huko hadi kidato cha sita, alisoma kwa shida sana, na kuna muda alitaka kuacha kabisa kusoma, Mimi mwenyewe nilijitahidi sana kumpa moyo hadi akabadilika, na akatulia na kuanza kusoma. Nilimwangalia alivyokuwa akipata taabu ya kutaka kujielezana baadaye akasema. Na mara akafika shemeji yangu bado akiwa na wasiwasi, nikamwambia akae, na yule mfanyakazi wangu akawa anamminia kinywaji, na alipomaliza akauliza kuna kitu gani tunahitaji, nikamwambia kwasasa hakuna, baada ya kumuuliza shemeji yangu akama anahitaji kitafunio chochote, na kusema kinywaji kinatosha, nilisubiri hadi huyo mfanyakazi wangu alipoondoka, ndipo nikaanza mazungumzo.

Mimi nikaamua kuchukua likizo ya mwezi mnzima, kwa ajili ya mume wangu, Baada ya wiki nikaona kumbe inawezekana, kumbe nilikuwa nabeba mzigo mkubwa mwenyewe, kumbe ningeliweza kuzigawa kwa watu wangu na wakazifanya itakiwavyo, japokuwa kulikuwa na makosa ya hapa na palelakini mengi yalikuwa ni ya kibinadamu.

Schmalzle pfullingen wochenangebot

Sasa ni mwezi umepita, nipo namuhudumia mume wangu, kila siku nahakikisha namfanyia yale yote muhimu yanayohitajika, tukisaidia na dada mmoja niliyemchukua kama msaidizi wangu kwa ajili ya mume wangu tu, ili yule mfanyakazi wa nyumbani asije kushindwa kazi zake nyingine, kwa kisingizia cha kumshughulikia mume wangu. Ilikuwa sio kazi rahisi, ikizingatia kuwa mume wangu wakati mwingine alikuwa akitaka kuongea yale yaliyopita, yale yaliyosababisha awe hivyo, na mimi nilishaonywa kabisa kuyakwepa kuyaongea hayo, hadi wakati muafaka utakapofika.

Na nikajitahisi sana kufanya hivyo. Mimi moyoni, nilikuwa na yangu, pamoja na kukubali hilo, lakini nilikuwa natafuta nafasi ya kupata taarifa muhimu, kujua yote yaliyotokea hadi kufikia hatua, hiyo, nilikuwa nimeshajipanga, lakini sikutaka kabisa mume wangu afahamu lolote, kwahiyo nikiwa nyumbani, najitahidi kila niwezavyo, kutokumuonyesha chochote kibaya, na nikawa najitahidi kutokuongea na mtu mwingine,jambo lolote linalomuhusu mume wangu.

Na ndio siku hiyo akafika huyo mdogo wa mume wangu, nikaona kuwa moja ya malengo yangu yanaweza kutimia. Na tulipokuwa peke yangu tukaanza mazungumzo na shemeji yangu ambaye alionekana kutokuwa na amani, Ni kweli shemeji yangu huyu, amekuwa akiniogopa. Mume wangu namwamini sana, halikadahalika wewe na rafiki zangu. Kuna sintofahamu inayoendelea, na hiyo sintofahamu inanitia mashaka, Na kama mnafahamu ukweli mkanificha, nitajua kuwa ninaishi na watu wanaojifanya ni marafiki kwangu kumbe sio, kumbe ni wanafiki Hilo sitalikubali.

Wakati maneno mengine yakiendelea kujirudia akilini na kuzidi kunipandisha hasira, mara nikasikia sauti za watu wakiongea nje. Nikashituka kutoka kwenye lindi la mawazo, kwanza nilitaka kukimbilia chumbani kuhakikisha kuwa mume wangu bado kalala, Kumbe msaidizi wangu alikuwa amerudi, na kuingia ndani akamkuta mume wangu keshaamuaka, na wakatoka naye nje,inaonekana walikuwa wanazunguka huku na kule na kigari Kwanza nikaingiwa na wasiwasi, nikijiuliza huyu mtu alitoka muda gani, isije ikawa,walifika hadi kule bustanini, wakasikia maongezi yetu na shemeji yangu,kitu ambacho muda wote nilikuwa nikikikwepa, nikaona nithibitishe hilo, nikafungua mlango na kutoka nje, Mume wangu aliponiona, kwanza aliniangalia kwa macho yaliyojaa huruma, nikatabasamu, lakini yeye hakutabasamu kama ilivyokuwa kawaida yake,Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya.

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja comments. Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako kilio chako kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi. Post a Comment. Ni kisa na mkasa, chenye mafunzo ndani yake, kinachotokana na ushauri wa kirafiki kati ya marafiki wawili.

Ushauri uliokuja kuzaa mtafaruku hadi marafiki hawa wawili wakaja kuwa maadui makubwa wakutaka hata kuuana. Ulikuwa ushauri wenye nia njema kwa mlengwa, lakini …. Hutapenda kuona rafiki yako akiteseka, utafanya kila hali ili aondokane na shida hiyo, njia mbadala zilishindikana, ikabakia wazo hilo Kisa hiki ni kumbukumbu za wale wanaoteseka, wenye shida mbali mbali, wenye mitihani ya maisha, wengine wakihitajia kuolewa lakini hawajapata wa kuoa au kuolewa, hawa wanahitajia ushauri, je tuwape ushauri gani….

Wapo wengine wakihitajia watoto, lakini mola hajawajalia. Wapo waliovumilia. Kisa hiki hiki ni maalumu kwako wewe mtoa ushauri, na wewe mshauriwa…tuweni makini sana kwa dhamana hii ya ushauri! Ushauri sio kuongea tu kwa vile…sio wewe utayefanyiwa, sio wewe …hapana shauri ukijiweka kwenye hiyo nafasikama ingelikuwa ni wewe. Japokuwa unaweza ukatoa wazo hilo kwa nia njema kabisa, ukitaka kumsaidia mwenzako, lakini jiulize huyo atakayetendewa hataumia,…au kama ungelitendewa wewe ungakubali kutendewa, ….

Ilikuwa vigelegele vya shangwe, pale nilipofunga harusi yangu, kiukweli ilikuwa harusi kubwa, kutokana na hali zetu, na aliyesaidia kuhakikisha kila kitu kimekwenda sawa, alikuwa rafiki yangu kipenzi….

Basi yeye akasimamia kila kitu, nikaja nikafunga ndoa na mume wangu. Masiku, miezi, miaka, ikaenda mimi nikajaliwa watoto, lakini rafiki yangu bado akawa hajaolewasio kwasababu kuwa hakupata wachumba, hapana, wachumba ni wengi waliotaka kumuoa, lakini yeye akawa hawakubali kutokana na sababu hii na ile, aliyoiona yeye. Na awali sikupenda kumuingilia sana kwa maamuzi yake hayo, maana ninamfahamu alivyo…ana msimamo wake. Lakini siku zilivyozidi kwenda mbele ikabidi mimi niingilie kati, nakuumuliza yeye anataka mume wa namna gani.

Maisha yakaenda hivyo, na umri ukakimbia, umri hausemi, …unashangaa sura inabadilika, na majina yababadilika, kijana inageuka mtu mnzima, dada, inageuka kuwa mdada, baadaye…, mama,…mama bila mtoto, baba bila mtoto, mawazo yanaanza kuingia akilini, mawazo. Baada ya ndoa mambo mengine yalijiweka yenyewe rafiki yangu, alianza kupanga muda wake, ni lini aje kwangu, au lini tukutane naye, hakupenda kuja nyumbani kwangu kama mimi sipo,…sio kwamba sikumiani kwa hilo…au hakupenda wakutane na mume wangu kupata chakula cha mchana bila ya mimi kuwepo, hadi mume wangu akaja kuniuliza ni kwanini.

Kiukweli rafiki yangu huyo sikuwa na shaka naye hata kama ningelimkuta yupo na mume wangu, ninamfahamu sana kwa msimamo wake…anaogopa sana waume za watu, …. Wanaume wengi walimjaribu wakashindwa kwa msimamo wke huo. Kuna kipindi alimpata mwanaume mmoja wakawa wanakutana mara kwa mara nikajua huyo atamuoa, lakini baadaye nilipomuulizia, akanipa jibu la kukatisha tamaa. Kiukweli urafiki wetu ulikuwa ni dhati, na kila mmoja alijua msimamo wa mwingine na hilo ndilo litufanya tuwe hatuyumbi,…lakini ikatokea la kutokea, urafiki ukageuka kuwa shubiri, ukagubikwa na uadui wa kutaka hata kuuana….

Awali hakutaka kunisimulia undani wa maisha yao, hasa kilichosababisha hadi urafiki wako ukafa na kujenga chuki za kutaka kuuana, lakini baadae akaanza kunisimulia…kilichowafanya marafiki waliojulikana kuwa ni mrafiki wa kweli, marafiki ambao kila mtu alikuwa akitolea mfano kwao, lakini sasa ni maadui wakubwa….Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya.

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja comments. Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako kilio chako kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi.

8x7 roll up door lowes

Post a Comment. Nilimuangalia tu, na aliponitupia jicho na kuiona hiyo hali niliyokuwa nayo usoni, haraka akajibaragua na kama anatabasamu hivi, halafu akasema. Mke wangu usijali.

Sina Kazi Mbovu Mjini - Hanifa Maulid (Jike la Chui)

Na wakati anafanya hivyo macho yangu yakahisi kama kuna mtu kasimama kwa nje, nahisi alikuwa akisikiliza tunachoongea, akasogea kidogo, …sikuweza kumtambua ni nani, Na mara mlango ukafunguliwa,kwa nje, lakin hao watu hawakuingia, ulionekana mkono tu.

Huyu mmoja alikuwa karibu sana na mlango, nilipomchunguza kwa makini nikaona kama anafanana sana na marehemu nahisi atakuwa ndio huyo mtoto wa marehemu, kwa muda huo alikuwa akitaka kuingia ndani, na mume wangu akawa kamuwahi na akamzuia,akisema. Na hapo hapo nikachukua simu yangu kwa siri, nikawaweka sawa kwenye kiyoo cha simu na kuwapiga picha, huku nikimchunguza huyo mtu mwingine ambaye ni wakili kwa kauli ya huyo mtoto wa marehemu, kwa hisia zangu nilimuona ni kama aina za Marehemu, kwa hisia zangu tu.

Hata hivyo nilikuwa tayari nimeshawapiga picha.

"Jahazi adija yusufu"

NB: Doa la tamaa limeshagusa mtima, ibilisi hachezi mbali hapo, Je ni wangapi wapo tayari kuona mwenzake anapata kabla yake, au zaidi yake, ni wangapi wanayajali matatizi ya wengine, ni wangapi wanaona mali ni kitu tu cha kupita, awe tayari kusaidia wengine, hapa ni mtihani!

Labels: Mapenzi na ndoaNdani ya diari yangu-Nasaha za hekimaNdani ya diari yangu-Riwayavisa vyenye mafundisho. Unaionaje habari hii. No comments :. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya.

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja comments. Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako kilio chako kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi. Post a Comment. Ikapita wiki, kutokana na shughuli za kazi nyingi, nikawa kama nimeshamsahau rafiki yangu huyo, na nikawa na migongano ya hapa na pale ya kifamilia, ni kawaida, lakini safari hi ilizidi, maana mume wangu ratiba zake zikawa hazieleweki sio kama ilivyokuwa awali, tukawa tunabishana, lakini kwangu nilichukulia ni mambo na kawaida tu.

Ilinisthua kidogo, ikizingatiwa kuwa mtoto bado mdogo, sikumuulizia sana kuhus mtoto,…. Hata hivyo kiukweli, sio kwasababu hiyo, ila sikuwa na muda wa kukutana naye mara kwa mara, majukumu yalizidi sana. Tuliongea kidogo kwenye simu …tukamaliza hivyo tu, na sikuweza kumpigia tenana siku mbili baadae akapiga yeye, nahisi ni pale aliponiona nipo kimia, akasema. Kiukweli mimi sikuwa na hasira kihivyo, hasira zangu ni za hapo kwa hapo. Kesho yake nikapata nafsi nikaona nimpitie kidogom, nijua kinachoendelea, na kama vitu hivyo sio vingi, na kaviandaa, basi ninaweza kuondoka navyo, kwa kukodi gari, sikutaka kumpigia simu, mimi mwenyewe nikaenda nyumbani kwake…kwa mbali niliona gari kama ya mume wangu, lakini sikuwa na uhakika kama ilitokea kwake, au ilikuwa inapita tu, na mume wangu alikuwa kwenye mkutano.

Rafiki yangu alikuwa kasimama mlangoni kwake kunikaribisha, nikamsogelea tukasalimiana kama ada yetu, nikaingia ndani na swali la kwanza likawa hili.

Baadae mtoto akawa analia, kwahiyo akaenda kumchukua, na kumnyonyesha alipomaliza, akanipa nimpakate ili aniandalie kinywaji, ndivyo tulivyozoeananilitaka kujiandalia mimi mwenyewe, maana anajua mimi ni mpenzi wa sharubati ya baridi,… lakini akasema hapana.

Unajua mtoto wa mwenzako hakawii, sasa anageuza macho, anangalia, na sura halisi inaanza kuonekana, sura haikujificha alikuwa akifanana kila kitu na watoto wangu, maana watoto wangu wanafanana, ni wale mapacha wanaofanana kwa kila kitu, mimi akilini nikaweza hitimisho kuwa rafiki yangu atakuwa atakuwa katembea na mdogo wa mume wangu. Hata hivyo sikuweza kuvumilia nikamwambia.

Mkuki Kwa Nguruwe - Khadija Yussuf

Siku uliponipa ushauri wako, moyo wangu ulianza kuwa na shauku, …nikawa na hamu sana ya mtoto kuliko siku zote,…. Hapo akatulia kidogo kama anawaza jambo, baadae akaendelea kunihadithia…. Kwanza akaniangalia kwa makini, halafu akawa kama anasita kunijibu baadae kwa shingo upande, akiwa kainamisha kichwa akasema…. Tukiwa na tabia hiyo ya kuchuja matendo yetu kwa wenzetu nina imani kuwa hatutachukiana, tukumbuke kuwa ubaya kwe wenzetu unauma kama vile tungelifanyiwa sisis, kwani mkuki sio nguruwe tu, na kwa binadamu mchungu.

Labels: Mapenzi na ndoaNdani ya diari yangu-Nasaha za hekimaNdani ya diari yangu-Riwayavisa vyenye mafundisho. Unaionaje habari hii.

No comments :. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya.

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja comments. Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako kilio chako kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi. Post a Comment. Mimi nilikuwa sijamuona mapema hadi alipotukaribia….

Angrau b.sc agriculture colleges list

Baadae yule docta akaondoka, na kutuacha tukitizamana, mimi nikamsogelea docta rafikinikamuuliza. Pale nilizama kwenye mawazo, na wakati huo docta alikuwa akiongea na simu alipomaliza, akanisogelea na kuniangalia machoni kwa makini, halafu akasema. Mimi pale nikajikuta nimtulia na kuzama kwenye mawazo…kwanza nikijiuliza ni kwanini docta ameuliza maswali haya, ina maana labda mume wangu aliwahi kulalamika kwake kuhusu maisha yetu ya ndani.

Labda mume wangu aliwahi kuongea na rafiki yake kuhusu jinsi gani anavyotaka mtoto wa kiume, lakini hilo mbona halina msingi, sasa ni kwanini huyu mtu ananiuliza maswali haya… mahusiano ya kitandani yanamuhusu nini docta.

Sikiliza nikuambie. Sikusema kitu hapo ,nikampa nafasi aendelee kuongea, kwakweli alijaribu kuongea kwa upole, kama ujuavyo madakitari wanaofahamu kazi yao vyema. Hapo nikawa sina jinsi, …. NB: Choko choko za docta zitasaidia kuuvumbua ukweli, je docta anauliza hivyo akiwa na msingi gani, je huenda anajua ukweli fulani…. WAZO LA LEO : Ndoa nyingi zimekuwa na sintofahamu kwasababu ya kuzarau mambo muhimu kwenye ndoa, na mengine yanaonekana ni madogo au tunayaona hayana maana kwetu…na mengine ni msingi wa ndoa, lakini wengine wanayaona ni ya kawaida tu.

Labels: Mapenzi na ndoaNdani ya diari yangu-Nasaha za hekimaNdani ya diari yangu-Riwayavisa vyenye mafundisho. Unaionaje habari hii. No comments :. Newer Post Older Post Home.

Subscribe to: Post Comments Atom.Sunil, United States Scenic Ring of Iceland, August 2015 The hotels surpassed our expectations. Kimberly, United States Iceland Full Circle, August 2015 The map with all the suggestions on it about different places to stop to eat or visit was very helpful. Rachel, Australia Iceland Full Circle, August 2015 A wonderful route to experience the diverse and wild beauty of Iceland, marvel at the birds and horses, get a taste of its history and culture and enjoy warm hospitality.

Charles, United Kingdom South Iceland at Leisure, August 2015 All the accommodation was excellent. Glen and Becki, United States Iceland Full Circle, August 2015 The itinerary and road map provided by Nordic Visitor were perfect.

Charles, United States Express Iceland, August 2015 We are extremely happy with the Express Iceland package that Nordic Visitor prepared for us. Louis and JaNelle, United States Majestic Highlights of Norway, August 2015 The accommodations were excellent and so nice not to have to look for a hotel. Hillary, United States The Golden Triangle of Scandinavia, August 2015 Our travel agent was extremely helpful throughout the whole process. Dana, United States The Norwegian Highlights, August 2015 Line was an excellent guide.

Lisa, United States South Iceland at Leisure, August 2015 Nordic Visitor provided my family with an unbelievable first trip to Iceland. April, United Kingdom South Iceland at Leisure, July 2015 I have always wanted to visit Iceland for the geology and scenery. Thank you to Nordic Visitor for all your help xx AZDesertDancer, United States Express Iceland, July 2015 Hafdis was our advisor with Nordic Visitor.

Row8on, United States Exotic Hideaways, July 2015 Spent 7 days 6 night in Iceland and our trip was organized by Nordic Visitor Tours.

Weather report in chinakondepudi

Deborah, United States Scenic Fjords of Norway, July 2015 All lodging and transportation worked perfectly. Joan, United States Majestic Highlights of Norway, July 2015 We are very busy and using Nordic Visitor made our trip to Norway very pleasant and stress free.

Barbara, United Kingdom Ultimate Journey of Norway, July 2015 WE are widely travelled and this tour is a highlight. Michele, United States Golden Route of the Nordic Countries, July 2015 Everything was wonderful, you more than met our expectations.

Cornulete de post cu bors si drojdie

Michael, China Romantic Capitals of Scandinavia, July 2015 All hotels were excellent. Communication was outstanding all the way through the process. Andy Guy Golden Circle and South Coast, July 2015 We both felt the whole package was really well organised and structured. Kathryn, United States Pearls of North Iceland, July 2015 Iceland was a wonderful experience -- the scenery, the culture, the history, the colorful houses, the sheep and horses in their wide-open spaces, the fascinating geology, and even the language.

Pomegranate movie 2021

Michael, United States South Iceland at Leisure, July 2015 The itinerary, highlighted map, mobile phone, and GPS with the rental car were all very helpful. Kevin, Canada Iceland Full Circle, July 2015 I travel around the world and have been in every continent and used many travel agencies. Daniel, Canada Iceland Full Circle, July 2015 On our customized map, there were a few notes such as "home made ice cream", or "cozy coffee shop". The Garbo family, United States Express Iceland, July 2015 Everything was excellent.

Melissa, United States The Natural Wonders of Iceland, June 2015 Our guide Alfred Moller was terrific. Sharyn, Australia Fjords to Glaciers, June 2015 Kolbrun was wonderful. Amy, United States express iceland, June 2015 Customer service was exceptional right from the beginning.

Russel, United States express iceland, June 2015 The trip was great and the island beautiful. John and Martha, Canada express iceland, June 2015 The services provided by Sjofn exceeded our expectations in all respects. Nancy, United States South Iceland at Leisure, June 2015 We thought that Larus did an excellent job in planning the tour and our hotel stops based on our interests, which were largely to take advantage of seeing the beautiful scenery and to hike.

James, United States Iceland Full Circle, June 2015 Everything about this tour was perfect. You will hear from me someday in the future for more travel. Brie and Pat, United States Iceland Full Circle, June 2015 We booked a last minute honeymoon trip with Nordic Visitor and found the service outstanding.Service was turned off one full day prior.

No final bill was ever received. We received 3 emails telling us equipment retrieval kits were on the way and we never received them. I called DirecTV and after waiting for an eternity, was told their policy had just changed and they no longer send out retrieval boxes.

Instead you are to take all equipment to FedEx and they will know what to do with them. We went to FedEx and waited 40 minutes while the FedEx staff figured out how to go about entering each serial number into their system in the correct place in order to ship the equipment back. When I called to express our confusion over the matter of returning the equipment, the DirecTV person I spoke with (named Lucas) hung up on me.

Mkuki Kwa Nguruwe

Now I'm trying to get a copy of our final bill. I have made 3 phone calls, the most recent one lasting 57 minutes just to be told that since we are set up to have the bills mailed U. We have been DirecTV customers for several years but never again. Helpful Be the first one to find this review helpful How do I know I can trust these reviews about DIRECTV. We require contact information to ensure our reviewers are real.

We use intelligent software that helps us maintain the integrity of reviews. Our moderators read all reviews to verify quality and helpfulness. For more information about reviews on ConsumerAffairs. Jim of Chetek, WI Verified Reviewer Verified Buyer Original review: Dec. After numerous phone calls, I was told eventually that I owed nothing and was actually owed a small refund. Well, the bills kept coming and I kept calling. Now I'm told they have no record of anyone telling me that I owed nothing.

I will pay their bill and hopefully I'll be rid of this company. It is no longer worth the hours I have to spend on the phone to try and rectify the problem.

Avoid this company at all costs. Helpful 2 people found this review helpful greg of Noble, OK Verified Reviewer Original review: Dec. I was told all was fixed. Then when they came out to do the install everything was wrong. I have done away with them and I am now paying more with DISH but would rather pay more than to deal with DirecTV and all of their lies. Helpful 2 people found this review helpful Theresa of Toledo, OH Verified Reviewer Original review: Dec.

Helpful 2 people found this review helpful Debbie of Frankfort, KY Verified Reviewer Original review: Dec. You start out at a decent rate for the first year. So you call about how high your bill is and they give you a break on your bill and even offer you HBO or one of what they call (premium channels). So they tell you to call back in a year to see what they can do for you. They tell you they can give you a lesser package for less money. I already have the second to lowest package they have.

I am cancelling DIRECTV and would advise anyone not to get DIRECTV, because they do not stand by what they tell you. They want to stick it to you.